Monday, June 30, 2025

Jinsi ya kuandika barua ya maombi ya kazi ya muda ya uchaguzi Mkuu 2025

MEINRAD MEINRAD NGWENYA,
S.L.P 275,
NAMPUNGU-TUNDURU.
30/06/2025
Mkurugenzi wa Uchaguzi,
Tume Huru ya Uchaguzi,
Uchaguzi House,Eneo la Uwekezaji Njedengwa,
Kitalu D,Kiwanja Na.4,
5Barabara ya Uchaguzi,
S.L.P. 358,
41107 DODOMA.
Ndugu

YAH:MAOMBI YA KAZI YA MUDA YA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU 2025

Rejea kichwa cha barua hapo juu.Mimi MEINRAD MEINRAD NGWENYA kijana mwenye umri wa miaka 36.

Kwa mujibu wa tangazo la tarehe 28/06/2025 kupitia Tovuti ya Tume ya Uchaguzi www.inec.go.tz.Ninaomba kazi ya kuwa Msimamizi Msaidizi wa kituo cha kupigia kura.

Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika  chuo kikuu cha KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE kilichopo Dar es salaam,Elimu niliyonayo inanishawishi niamini kuwa ninafaa kufanya kazi katika jimbo lako.

Sina ushabiki na chama chochote cha siasa,ninaahidi kufanya kazi kwa bidii ili niweze kufikia malengo ya kufanikisha Uchaguzi Mkuu 2025.

Ninategemea majibu mazuri kutoka kwako na nipo tayari kwa usaili siku yoyote nitakayo hitajika,kwa uthibitisho zaidi,Nimeambatanisha CV na nakala ya vyeti vyangu.

Wako Muhaminifu
(MEINRAD MEINRAD NGWENYA)

Mawasiliano
Barua pep: enrickngwenya@gmail.com
Simu:0617430882

NB:Kwa watumishi wa Umma wanatakiwa waandike kwa mkurugenzi ili wapate idhini kwa mfumo huu.

MEINRAD MEINRAD NGWENYA,
S.L.P 275,
NAMPUNGU-TUNDURU.
30/06/2025
Mkurugenzi wa Uchaguzi,
Tume Huru ya Uchaguzi,
Uchaguzi House,Eneo la Uwekezaji Njedengwa,
Kitalu D,Kiwanja Na.4,
5Barabara ya Uchaguzi,
S.L.P. 358,
41107 DODOMA.
K.K
OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI(W),
HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU,
48 BARABARA YA NALASI,
S.L.P 275,57682 TUNDURU-RUVUMA

Ndugu

YAH:MAOMBI YA KAZI YA MUDA YA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU 2025

Rejea kichwa cha barua hapo juu.Mimi MEINRAD MEINRAD NGWENYA kijana mwenye umri wa miaka 36.

Kwa mujibu wa tangazo la tarehe 28/06/2025 kupitia Tovuti ya Tume ya Uchaguzi www.inec.go.tz.Ninaomba kazi ya kuwa Msimamizi Msaidizi wa kituo cha kupigia kura.

Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika  chuo kikuu cha KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE kilichopo Dar es salaam,Elimu niliyonayo inanishawishi niamini kuwa ninafaa kufanya kazi katika jimbo lako.

Sina ushabiki na chama chochote cha siasa,ninaahidi kufanya kazi kwa bidii ili niweze kufikia malengo ya kufanikisha Uchaguzi Mkuu 2025.

Ninategemea majibu mazuri kutoka kwako na nipo tayari kwa usaili siku yoyote nitakayo hitajika,kwa uthibitisho zaidi,Nimeambatanisha CV na nakala ya vyeti vyangu.

Wako Muhaminifu
(MEINRAD MEINRAD NGWENYA)

Mawasiliano
Barua pep: enrickngwenya@gmail.com
Simu:0617430882

imeandaliwa na ElimikaLeo
WhatsApp no 0768569349

0 Comments:

Advertisement