Saturday, September 13, 2025

Tangazo la kazi wilaya ya Namtumbo

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Namtumbo anawatangazia Watanzania 

wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (05) katika Halmashauri hii baada ya kupata 

kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupata fomu ya maelekezo bonyeza link hiyo chini

                                   👇

https://www.ajira.go.tz/baseattachments/advertisementattachments/20251309581018TANGAZO%20LA%20KAZI%20NAMTUMBO%20DC.pdf

0 Comments:

Advertisement