Friday, December 05, 2025

JINSI YA KUANDIKA MPANGO KAZI WA UWAWA

 

MPANGO KAZI WA UWAWA KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI MBALIMBALI

JINA LA SHULE:   NAMPUNGU               KATA:…  NAMPUNGU                    MWAKA:2025

Suala lililotambuliwa

 

Shughuli zitakazofanyika

 

Mhusika

Rasilimali zitakazotumika

Chanzo cha Fedha

 

Muda  wa utekelezaji

 

 

Jan

 

Feb

 

Mach

 

April

 

Mei

 

Jun

 

Jul

 

Agos

 

Sept

 

Okt

 

Nov

 

Dis

 

KUHIMIZA UPATIKANAJI WA CHAKULA SHULENI

 

 

-kuhamasisha jamii kuchangia chakula shuleni.

 

 

-Waje

-Uwawa

-K/shule

 

-Muda

-Fedha

-Unga

-Chumvi

-Wazazi wenye Watoto shuleni

-Wadau

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

-Kuhamasisha jamii kuanzisha shamba la chakula au mboga ili kupunguza uchnagiaji

-Kuandaa bustani za mbogamboga na matunda

 

 

-Waje

-Uwawa

-K/shule

-M/kiti – Kijiji

-Mh Diwani

-Muda

-Fedha

-Ardhi

-Jembe

-Mbegu

-Mbolea

-Shoka

-Wazazi, wadau, viongozi wa vijiji na Mh. Diwani

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA SHULENI

 

-Kuanzisha klabu za kupinga ukatili wa kijinsia shuleni

 

 

-Waje

-Uwawa

-Wanafunzi

 

 

-Muda

 

-Stationari

 

-Uwawa

-Waje

-Kamati ya shule

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA SHULENI

-Kuanzisha nakuimarisha mifumo ya utoaji na upokeaji wa taarifa za ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi ikiwa ni pamoja na kuanzisha sanduku la maoni

 

 

-Waje

-Uwawa

-Wanafunzi

-Jamii

-Afisa maendeleo ya jamii

 

 

 

 

- Muda

-Fedha

-Mbao

 

 

 

 

-Waje

-Uwawa

-K/shule

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

KUHAMASISHA USOMAJI NA UJIFUNZAJI KWA WANAFUNZI NJE YA SHULE

-Kuhamasisha jamii kupitia mikutano ya wazazi ,Waje,Uwawa,kulenga maeneo salama na jumuishi ya kujifunza nje shule

 

 

 

-WAJE

-UWAWA

-AEK

-MUDA

-JENGO

-BENCHI/VITI

-MIKEKA

-WAZAZI

-WADAU WA ELIMU

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

-Kuhamasisha wazazi na wanafunzi kuazimz vitabu ili kujisomea wakiwa nyumbani

 

 

-WAJE

-UWAWA

-AEK

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

-Kuanzisha miradi ya kuwezesha upatikanaji wa fedha ya kuendeshea vituo salama nje ya shule

 

-WAJE

-UWAWA

-AEK

-

-MUDA

-ARDHI

-JEMBE

-FYEKEO

-MBOLEA

-MBEGU

-WAJE

-WAZAZI

-UWAWA

-WADAU WA MAENDELEO YA ELIMU

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

KUBORESHA MIUNDOMBINU YA SHULE

-Kuhamasisha jamii/wazazi juu ya umuhimu wa kuboresha miundombinu ya shule kama vile madarasa,matundu ya vyoo na nyumba za mwalimu

 

 

 

-WAJE

-UWAWA

-AEK

-K/Shule

-Jamii

 

 

 

-MUDA

-FEDHA

-SULULU

-JEMBE

-CHEPE/SPEDI

 

 

 

-WAZAZI

-WADAU WA ELIMU

-K/SHULE

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

KUHAMASISHA UANDIKISHAJI, MAUDHULIO  NA KUHITIMU

Kuhamasisha wazazi /walezi kuwarudisha  shule watoto walioacha shule kwasababu mbalimbali

-kuhimiz mahudhurio ya wanafunzi shuleni pamoja na kufatilia watoro

-Kushiriki kufanya maoteo.

-kuhamasisha  wazazi /walezi katika uandikishaji wa watoto wa darasa la awali  na la kwanza 

 

-WEJE

 

-UWAWA

 

-AEK

 

-K/SHULE

 

JAMII

-DAFTARI LA MAHUDHURIO

-TAKWIMU YA WATORO SHULENI

- DAFTARI LA UANDIKISHAJI LA WANAFUNZI  

-WAZAZI

-WADAU WA ELIMU

K/SHULE

WEJE

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandaliwa na:

                             Nampunguprimary2@gmail.com

 

Msomihuru blog is an educational blog that provides clear, insightful, and practical knowledge on academics, society, technology, literature, science, and personal development. Learn freely, grow daily.

0 Comments: