Wale wanauliza Format Ya Mtihani F2
*🚨📚 NECTA YATOA MFANO WA MTIHANI WA FTNA 2026 (PILOT) – FAIDA NA LENGO LAKE NI NINI? 📚🚨*
👋 Salaam Wakuu wa Shule, Walimu na Wadau wa Elimu.
Ingia Hapa follow pia👇👇👇
https://whatsapp.com/channel/0029VaEmbFZ1Hsq6oycc992g
📝 NECTA imetoa Mfano wa Mtihani wa FTNA 2026 (Pilot) kwa watahiniwa wa mkondo wa Jumla. Maswali hayo yanapatikana kwenye Mfumo wa PREMS kupitia sehemu ya Notifications.
*Huo ni mfano Rasmi toka Necta*
*🎯 Lengo la Mtihani wa Mfano (Pilot) ni:*
✅ Kuwasaidia wanafunzi kuelewa muundo wa maswali ya mtihani.
✅ Kuwapa wanafunzi nafasi ya kujipima kabla ya mtihani rasmi.
✅ Kuwajengea wanafunzi kujiamini na kuondoa hofu ya mtihani.
✅ Kuwasaidia walimu kubaini maeneo yenye changamoto mapema pia Kupata muundo WA maswali yanavyoweza kuwa.
✅ Kukusanya maoni na tathmini kuhusu mfumo wa mtihani kabla ya utekelezaji rasmi Haujawekwa.
*📌 Nini Kinatakiwa Kufanyika?*
🔹 Ingieni kwenye Mfumo wa PREMS.
🔹 Pakueni maswali yaliyowekwa kwenye sehemu ya Notifications.
🔹 Waandalieni na Wapatieni wanafunzi Mitihani/ mazoezi hayo mara shule zitakapofunguliwa.
🔹 Tumia matokeo ya majaribio hayo kuboresha ufundishaji na ujifunzaji.
*🌟 Faida kwa Wanafunzi*
📖 Kujifunza namna ya kujibu maswali yanayotarajiwa.
⏱️ Kujizoesha usimamizi wa muda wa kufanya mtihani.
🎯 Kubaini mapungufu yao mapema.
🏆 Kuongeza uwezekano wa kufanya vizuri katika FTNA 2026.
*⚠️ Kwa Wadau Wanaopata Changamoto Kuingia PREMS*
Kama unakwama kuingia kwenye Mfumo wa PREMS au huwezi kuona Notifications, nimewasogezea link ya moja kwa moja ya kupakua mitihani hiyo.
👇👇 Bonyeza Link Hii Kupakua Mitihani Hiyo👇👇
🤝 Tushirikiane kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya kufanya majaribio haya muhimu kabla ya mtihani rasmi.
📚 Pakua mapema, waandae wanafunzi mapema, na waongezee nafasi ya kufaulu zaidi FTNA 2026.
Imeandaliwa na
*Mwalimu Na Mifumo*
0753538043
#FTNA2026 #NECTA #ElimuBora #MwalimuNaMifumo #Assessment #PilotExamination #WanafunziKwanza 📚🎓✨
0 Comments: