Fursa Za Ajira Na Kazi

 Fursa Za Ajira Na Kazi

Karibu kwenye ukurasa wa Fursa, Ajira na Kazi wa Msomihuru. Hapa utapata taarifa mbalimbali kuhusu ajira mpya, nafasi za kazi, fursa za masomo, ufadhili wa masomo (scholarships), mafunzo ya muda mfupi, pamoja na nafasi za kujitolea kutoka Tanzania na nchi nyingine.

Tunajitahidi kukuletea taarifa sahihi na za wakati kuhusu:

Ajira Mpya

✔  All Jobs In Tanzania

Ajira za Mashirika na Kampuni Binafsi

Nafasi za Mafunzo (Internship)

Fursa za Scholarships

Nafasi za Kujitolea (Volunteering)

Fursa za Biashara na Ujasiriamali

Matangazo ya Vyuo na Mafunzo mbalimbali

Lengo letu ni kuwasaidia wanafunzi, wahitimu, walimu na vijana kwa ujumla kupata taarifa muhimu zinazoweza kuwasaidia kujenga maisha na taaluma zao.

Tembelea ukurasa huu mara kwa mara ili usipitwe na fursa mpya.

Msomihuru – Elimu, Ajira na Fursa kwa Wote.

Tembelea: msomihurutzblog.blogspot.com

0 Comments: