JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2026 (ACSEE)
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) 2026/2027.
Ili kuangalia matokeo yako, fuata hatua hizi:
- Tembelea tovuti rasmi ya NECTA
- Chagua sehemu ya Results.
- Bofya ACSEE 2026 Examination Results.
- Chagua mkoa na shule yako au tafuta kwa jina la shule.
- Bofya jina la shule ili kuona orodha ya watahiniwa na matokeo yao.
- Unaweza pia kupakua matokeo kwa mfumo wa PDF kwa matumizi ya baadaye.
Muhimu: Tumia tovuti rasmi ya NECTA ili kupata matokeo sahihi na ya kuaminika. Ikiwa tovuti itakuwa na msongamano kutokana na watumiaji wengi, subiri kwa dakika chache kisha jaribu tena.
Tunawatakia kila la heri wanafunzi wote walioshiriki mtihani wa Kidato cha Sita 2026.

0 Comments: