Wednesday, November 04, 2026

STD VII Top 10 Best Performing Primary Schools in Tanzania 2026 – NECTA Results





Orodha ya shule 10 bora za msingi zilizofanya vizuri katika matokeo ya Darasa la Saba (STD VII) mwaka 2026. Orodha imepangwa kulingana na wastani wa ufaulu (Average Score) pamoja na idadi ya watahiniwa kutoka kila shule.

Shule zilizoongoza ni:
  1. Kemebos Primary School – Bukoba (285.7333)
  2. Masunula Primary School – Shinyanga (285.5172)
  3. St. Joseph Primary School – Rombo (285.3457)
  4. Nyabusalu Primary School – Ushetu (284.9200)
  5. Samuu Primary School – Shinyanga MC (284.6800)
  6. Wisdom Primary School – Kasulu (284.3333)
  7. Savelife Primary School – Kyela (284.2500)
  8. Greenlane Primary School – Tabora (284.1230)
  9. Bunazi Green Acres – Missenyi (284.0938)
  10. Glisten Primary School – Simanjiro (283.5833)

0 Comments: