Monday, July 06, 2026

MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU 2026 DSEE, GATCE, DPEE, DPEE, DPPEE & DSPEE

 Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Mitihani ya Ualimu | Matokeo Form Six ACSEE NECTA 2026/2027 yametoka rasmi.



Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Mitihani ya Ualimu

Jinsi unavyoweza kuangalia matokeo Mitihani ya Ualimu mtandaoni kupitia tovuti rasmi ya NECTA



Hatua ya 1: tembelea www.necta.go.tz

Hatua ya 2: Bonyeza "Matokeo" kutoka kwenye menyu kuu.

Hatua ya 3: Dirisha la "Matokeo" litaonyesha matokeo yote yanayopatikana.

Hatua ya 6: Chagua "Aina ya Mtihani" GATCE.

Hatua ya 5: Chagua "Mwaka" wako wa kumaliza shule mfano: 2026

Hatua ya 6. Sasa angalia matokeo yako NECTA




JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2026 (ACSEE)

 

JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2026 (ACSEE)

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) 2026/2027.

Ili kuangalia matokeo yako, fuata hatua hizi:

  1. Tembelea tovuti rasmi ya NECTA
  2. Chagua sehemu ya Results.
  3. Bofya ACSEE 2026 Examination Results.
  4. Chagua mkoa na shule yako au tafuta kwa jina la shule.
  5. Bofya jina la shule ili kuona orodha ya watahiniwa na matokeo yao.
  6. Unaweza pia kupakua matokeo kwa mfumo wa PDF kwa matumizi ya baadaye.

Muhimu: Tumia tovuti rasmi ya NECTA ili kupata matokeo sahihi na ya kuaminika. Ikiwa tovuti itakuwa na msongamano kutokana na watumiaji wengi, subiri kwa dakika chache kisha jaribu tena.

Tunawatakia kila la heri wanafunzi wote walioshiriki mtihani wa Kidato cha Sita 2026.

Saturday, July 04, 2026

Saturday, January 31, 2026

Matokeo ya kidato cha nne 2025/2026

 BARAZA LA MITIHANI (NECTA) Latoa Matokeo ya Kidato cha Nne

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) ni taasisi ya serikali yenye jukumu la kuandaa, kusimamia na kutoa mitihani ya kitaifa nchini Tanzania. Miongoni mwa mitihani muhimu inayosimamiwa na NECTA ni Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) unaofanyika kila mwaka.



Baada ya kukamilika kwa zoezi la kusahihisha mitihani, NECTA hutangaza rasmi matokeo ya Kidato cha Nne kwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini. Matokeo hayo huonesha kiwango cha ufaulu wa wanafunzi pamoja na hali ya taaluma kwa ujumla.

Wanafunzi, wazazi na wadau wa elimu wanaweza kupata matokeo hayo kupitia tovuti rasmi ya NECTA pamoja na majukwaa mengine ya kielektroniki.

๐Ÿ‘‰ TAZAMA HAPA matokeo ya Kidato cha Nne mwaka 2025/2026 

Matokeo ya Form Four ni muhimu sana kwani huamua hatma ya mwanafunzi katika kuendelea na elimu ya juu, kujiunga na vyuo vya kati au mafunzo ya ufundi.

Saturday, January 10, 2026

Matokeo Darasa la Nne 2025/2026, NECTA SFNA results 2025/2026.

NECTA STD four results 2025/2026, Matokeo Darasa la Nne 2025/2026, NECTA SFNA results 2025/2026.

Matokeo Darasa la Nne 2025/2026 are part of the national release of necta std four results 2025/2026, officially known as the necta sfna results 2025/2026. These results follow the Standard Four National Assessment (SFNA), a formative evaluation designed to monitor pupils’ learning progress and provide feedback that teachers, learners, and education stakeholders can use to improve teaching and learning before pupils advance to Standard Five.

Unlike selection examinations, the SFNA is not intended to eliminate learners. Instead, it assesses foundational competencies and highlights areas where additional academic support may be required.

What is the Standard Four National Assessment (SFNA)?

The Standard Four National Assessment is administered by the National Examinations Council of Tanzania (NECTA) as part of the competence-based primary education curriculum. The assessment focuses on measuring pupils’ understanding, application of knowledge, and mastery of basic skills acquired during the first four years of primary education.

Published from Blogger Prime Android App

To check SFNA results, students can visit the official NECTA website or use the below link

How to Check Matokeo darasa la nne 2025/2026 Online

These steps will guide you through the official process of accessing results online, ensuring accuracy and helping you avoid unofficial or misleading sources. Following them carefully allows parents and schools to locate results by region, district, and school without confusion.

Step-by-Step Guide

  1. Visit the Official NECTA Website
    Open your browser and go to https://necta.go.tz, the only official platform for national examination results.

  2. Navigate to the Results Section
    On the homepage menu, click on “Results” or “Matokeo” to access available examination outcomes.

  3. Select SFNA Results
    Look for the link labeled Standard Four National Assessment (SFNA) Results corresponding to the NECTA SFNA Results 2025/2026.

  4. Choose the Relevant Region
    Select the region where the school is located to narrow down the results list.

  5. Select District and School
    After choosing the region, pick the appropriate district, then locate the specific school.

  6. View Pupil Results
    Once inside the school’s page, scroll through the list to view individual performance details under Matokeo darasa la nne 2025/2026.

Matokeo ya form two 2025/2026 (Matokeo Kidato Cha Pili)

Matokeo Kidato Cha Pili NECTA Results: Check Now

Update on Matokeo ya Form Two 2025/2026

Matokeo ya Kidato cha Pili (FTNA) 2025/2026 have not yet been released by the National Examinations Council of Tanzania (NECTA). As of now, there is no official announcement confirming the exact release date.

Published from Blogger Prime Android App
To check FTNA results, students can visit the official NECTA website or use the below link

Based on past patterns—where FTNA results are usually published between December and early January—the results are expected within a similar timeframe. You can always check the latest updates through the official NECTA website using the Results page.

This post will remain active and will be updated immediately once NECTA publishes the official results or provides any new information.

How to Check the Results (Once Released)

  1. Visit the official NECTA website: www.necta.go.tz.

  2. Select “Results” from the main menu.

  3. Under Exam Type, choose FTNA.

  4. Select the appropriate year once available.

  5. Click Submit to open the results page.

The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) has officially released the Form Two National Assessment (FTNA) results for the academic year 2025/2026. The announcement was made on January 4, 2025, during a press briefing held at NECTA’s offices in Dar es Salaam, where the council’s Executive Secretary, Dr. Said A. Mohamed, provided detailed insights into the outcomes of the assessment.

Friday, December 05, 2025

Form One Selection 2025/2026  Tazama hapa

Majina ya waliochaguliwa form one
 2025/2026



How to Check Your Form One Selection 2025

Follow these steps to check your Form One selection:

  1. Visit the TAMISEMI or NECTA website.
  2. Locate the Form One Selection 2025 section.
  3. Choose your region and district from the list.
  4. Select your school from the options provided.
  5. Your Form One selection details will be displayed.

For more information, visit the NECTA website.

TAZAMA HAPA

๐Ÿ“ข SELECTION KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA 2026 IMETOLEWA!*

✅ *Tazama hapa jina la mwanafunzi, shule aliyosoma, wanakotoka na mkoa:*  


 

๐Ÿซ *Tazama hapa waliochaguliwa kuja shuleni kwako au wanaoenda shule moja:*  




Wednesday, November 05, 2025

Monday, July 07, 2025