SHULE BORA


Tangaza Shule kwa Sh. 5,000 - Hapa ElimikaLeo

ElimikaLeo tumeanzisha program maalum iitwayo "Shule Bora" ambayo imelenga kuzipromote Shule zote ambazo ni nzuri tu, lakini shule hizi sio maarufu sana kwa Watanzania wengi.

Huenda Shule yako au yenu ikawa kwenye hili kundi.

Shule hizi zitawekwa kwenye Tovuti yetu kwenye hii makala, na pia kwenye ukurasa wa mbele wa Tovuti (Front Page) ambapo watu wengi hutazama kila siku wanapoingia kusoma ElimikaLeo. 


FAIDA UTAKAZOPATA 
1. Shule yako itajulikana kwa watu wengi, na utapata wanafunzi wengi

2. Shule yako itakuwa kitaaluma, maana shule itapokea wanafunzi kutoka sehemu mbalimbali wenye uwezo tofauti tofauti na mkubwa kimasomo.

3. Shule yako itapatikana kwenye internet (Google) pale ambapo watu watakuwa wakijaribu kuitafuta ili wapate taarifa zake


Tangaza Shule Yako - ElimikaLeo

Tangaza Shule Yako Hapa kwa kufuata maelekezo hayo chini.

Jaza taarifa za shule yako hapa chini na utume moja kwa moja kupitia WhatsApp bei shilingi 5,000 kwa mwezi Tangazo lako litatokea juu ya front page ambayo watu wengi huanza kuiona.Nikisha weka tangazo ndipo utakapolipia na kutuma ujumbe wa malipo.

0 Comments:

Advertisement