Thursday, October 24, 2024

Maazimio ya Masomo kwa Madarasa yote(1-7) mwaka 2026 kwa mtaala mpya na mtaala wa zamani

MSOMIHURU BLOG (msomihurutzblog.blogspot.com) ni jukwaa la elimu linalolenga kusaidia walimu, wanafunzi na wadau wa elimu kwa kutoa maazimio ya masomo (schemes of work) yaliyoandaliwa kwa kuzingatia mtaala wa elimu wa Tanzania.

Katika blog hii, watumiaji wanaweza kupata maazimio ya masomo kwa:

1.Shule za Msingi na Sekondari

2.Madarasa na ngazi mbalimbali

3.Masomo tofauti kulingana na mtaala husika

๐Ÿ” Jinsi ya Kupata Maazimio ya Masomo

1.Tembelea tovuti: msomihurutzblog.blogspot.com

2.Chagua ukurasa au somo unalotaka

3.Bofya link husika ili kupakua au kusoma moja kwa moja

Maudhui husasishwa mara kwa mara ili yaendane na mabadiliko ya mtaala

Faida za Kutumia MSOMIHURU BLOG

1.Maazimio yameandaliwa kwa lugha rahisi na muundo unaoeleweka

2.Hupunguza muda wa walimu katika maandalizi ya kufundisha

3.Husaidia walimu wapya na wanafunzi wa ualimu

4.Ni rahisi kufikiwa kwa simu au kompyuta

MSOMIHURU BLOG inalenga kuboresha ubora wa ufundishaji na ujifunzaji kwa kuhakikisha rasilimali muhimu za kitaaluma zinapatikana kwa urahisi kwa kila mdau wa elimu.

 Kwa mahitaji ya maazimio ya masomo ingia hapa na upakue hapa

DARASA LA AWALI 

KUHESABU

STADI ZA AWALI ZA LUGHA

KUHUSIANA

AFYA NA MAZINGIRA

SANAA NA MICHEZO

NAIPENDA NCHI YANGU

DARASA LA KWANZA 

KUANDIKA

KUSOMA

KUESABU

ENGLISH

KUTUNZA AFYA NA MAZINGIRA

SANAA NA MICHEZO

DARASA LA PILI 

MAAZIMIO YOTE YAPO HAPA

DARASA LA TATU

HISABATI

KISWAHILI

ENGLISH

SAYANSI

HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI

JIOGRAFIA NA MAZINGIRA

SANAA NA MICHEZO

DARASA LA NNE 

HISABATI

KISWAHILI

ENGLISH

SAYANSI

HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI

JIOGRAFIA NA MAZINGIRA

SANAA NA MICHEZO

DARASA LA TANO 

HISABATI

KISWAHILI

ENGLISH

SAYANSI

HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI

JIOGRAFIA NA MAZINGIRA

SANAA NA MICHEZO

DARASA LA SITA 

HISABATI

KISWAHILI

ENGLISH LANGUAGE

SAYANSI NA TEKNOLOJIA

MAARIFA YA JAMII

URAIA NA MAADILI

STADI ZA KAZI

DARASA LA SABA 

HISABATI

KISWAHILI

ENGLISH LANGUAGE

SAYANSI NA TEKNOLOJIA

MAARIFA YA JAMII

URAIA NA MAADILI

STADI ZA KAZI

0 Comments: