CV Hatua kwa Hatua
Hatua ya kwanza nitaonesha mfano wa CV kwa lugha ya Kiswahili na hatua ya pili nitaonesha mfano wa CV kwa lugha ya Kiingereza halafu utachagua mwenyewe utumie lugha gani katika kuandika CV yako.
CV ya kwanza, ni CV ya kawaida, ni aina hii ya CV utaikuta katika vitabu mbalimbali na hufundishiwa wanafunzi:
Mfano wa Kwanza: CV ya Kiswahili ambayo ni ya kawaida
WASIFU WA SAMWEL MANATI MALUMBAGA
Taarifa za Awali
Jina: Meinrad meinrad ngwenya
Ndoa: Ameoa
Barua Pepe: enrickngwenya@gmail.com
Simu: 0768569349
Utaifa: Mtanzania
Tarehe ya kuzaliwa: 18/07/1989
Historia ya Elimu
2010-2012, Chuo cha ualimu Mbeya Lutherani.
2005-2008, Shule ya Sekondari ya St.Benedicto. Cheti cha Kidato cha Nne.
1998-2004, Shule ya Msingi Mapinduzi. Cheti cha Darasa la Saba.
Uzoefu
2012-2013, Mgodi wa Bulyanhulu.
Maarifa
- Kutumia Kompyuta.
Ninapenda
Kufanya kazi, Kufundisha, Kusoma, Kujifunza mambo mapya.
Wadhamini:
1. Sophia Said Kapolo,
Barua Pepe: Sophiakapolo@gmail.com,
S.L.P 275,
Contact: 0620199441
TUNDURU.
2. Mateso Julius kavindi,
Barua Pepe:matesokavindi1@gmail.com,
S.L.P 40,
TUNDURU.
Mfano wa Pili ni mfano wa CV iliyo katika lugha ya Kiingereza, lakini CV hii ni ya kawaida
0 Comments: