Baraza la mitihani yanzania NECTA imetoa ratiba ya mitihani kwa kidato cha sita itakayoanza siku ya jumatatu ya tarehe 05/05/2025 hadi siku ya jumatatu ya tarehe 26/05/2025
Monday, January 20, 2025
Testme
Testme ni mwalimu wa shule ya Awali na Msingi na mwandishi wa maudhui ya elimu nchini Tanzania. Kupitia blog ya MsomiHuru Na Mitihani Tz, anashiriki mitihani, vitabu, andalio la somo, na nyenzo mbalimbali za kujifunzia kwa wanafunzi na walimu.
0 Comments: