Tafuta bei ya kuuzia Kitabu ikiwa bei ya kununua umepewa kwa Faida ya%
Kanuni
Faida:
Bei ya kuuzia = (100%+% ya faida)×Bei ya kununulia
100%
Hasara:
Bei ya kuuzia= (100%− % ya hasara)× Bei ya kununulia
100%
(a) Tafuta Bei ya Kuuzia kitabu ikiwa bei ya kununulia ni Shilingi 15,000 na faida 5%
Faida = 5%
Bei ya kuuzia = (100%+5% )×15,000
100%
Bei ya kuuzia=105% ×15,000
100%
Bei ya kuuzia=105% x 15,000
100
Kata sifuri mbili kwenye 100 na sifuri mbili kwenye 15,000
Bei ya kuuzia=105 x 15,0
Bei ya kuuzia=15,750 jibu
(b)Tafuta Bei ya Kuuzia kitabu ikiwa bei ya kununulia ni Shilingi 9,000 na hasara ya 10%
Bei ya kuuzia= (100%− % ya hasara)× Bei ya kununulia
100
Bei ya kuuzia = (100%-10% )×9,000
100%
Bei ya kuuzia=90%×9000
100%
Bei ya kuuzia=90% x 9,000
100%
Kata sifuri mbili kwenye 100 na sifuri mbili kwenye 9,000
Bei ya kuuzia=90 x 90
Bei ya kuuzia=8,100 jibu
SWALI LA 2
Tafuta bei ya kununua ikiwa bei ya kuuzia umepewa
Faida:
Kanuni
Bei ya kuuzia = (100%+% ya faida)×Bei ya kununulia
100%
Hasara:
Bei ya kuuzia= (100%− % ya hasara)× Bei ya kununulia
100%
(a) Tafuta bei ya kununulia kitabu ikiwa bei ya kuuzia ni Shilingi 16,000 hasara 20%
Hasara:
Bei ya kuuzia= (100%− % ya hasara)× Bei ya kununulia
100%
16,000= (100%− 20% )× Bei ya kununulia 100%
16,000= (80 )× Bei ya kununulia 100%Zidisha kwa 100 kila upande16,000 x 100=80 bei ya kununulia
1,600,000=80 bei ya kununulia
Gawanya kwa 80 kila upande1,600,000=80 bei ya kununulia 80 80Themanini kwa themanini inakwisha na kubaki bei ya kununulia
20,000=bei ya kununulia
Hivyo:bei ya kununulia ni 20,000 Jibu
(b)
0 Comments: