Tuesday, June 09, 2026

DOWNLOAD MITIHANI YA ELIMU JUMUISHI PAPER 2 KUTOKA CHUO CHA LUA

 

Kupakua mitihani ya Chuo cha Ualimu LUA Teachers College ni njia rahisi kwa wanafunzi kupata nyaraka muhimu za kujisomea na kufanya maandalizi ya mitihani. Mitihani hiyo huwasaidia wanafunzi kujipima uelewa wao wa masomo mbalimbali ya ualimu na kujiandaa vyema kwa mitihani ya mwisho. Kupitia maktaba ya mtandaoni au majukwaa ya elimu yanayotoa nyaraka za masomo, wanafunzi wanaweza kupakua mitihani ya miaka iliyopita na kuitumia kama rejea katika kuboresha ufaulu wao. Lua Teachers College ni chuo cha ualimu kilichopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam, na kinatoa mafunzo ya cheti na diploma ya elimu ya msingi.

DOWNLOAD MITIHANI YA ELIMU JUMUISHI PAPER 2 KUTOKA CHUO CHA LUA

MsomiHuru Na Mitihani Tz ni website inayojihusisha na utoaji wa mitihani mbalimbali ya majaribio kwa shule za Awali, Msingi, Sekondari, Advance Level,Vyuo vya Ualimu kwa Wazazi,wanafunzi na walimu.

0 Comments: