Uchumi wa kikoloni ni Mfumo wa uchumi ulioanzishwa na wakoloni wakati wa utawala wao AFRIKA.
Uchumi huu wa kikoloni ulianzishwa kutokana na Mapinduzi ya viwanda ulaya mwaka
Malengo ya uchumi wa kikoloni
-Kupata malighafi-Kutafuta masomo
-Kupata wafanyakazi
-Kupata maeneo ya kuanzishia vitegauchumi vyao
-Kutafuta maeneo ya makazi
Tabia za uchumi wa kikoloni
-Kulipa Kodi-Kurahisisha kilimo cha mazao ya biashara
-Kunyang'anya ardhi yenye rutuba
-Kulazimisha waafrika kufanya kazi katika miradi ya wakoloni
-Kuanzishwa kwa elimu ya kikoloni
-Ujenzi wa miundombinu
-Kuanzisha viwanda vya usindikaji
SEKTA KUU ZA UCHUMI WA KIKOLONI AFRIKA
(a) Kilimo(b)Migodi
(c) Viwanda
(d) Biashara
(e) Miundombinu
MBINU ZILIZOTUMIKA KUIMARISHA UCHUMI WA KIKOLONI
-Kunyang'anya ardhi yenye rutuba-Kurazimisha waafrika kufanya kazi katika miradi ya wakoloni
-Kutumia manamba
-Kuanzisha Kodi
-Kuanzisha Migodi
-Kuuza bidhaa toka ulaya
-Kuanzisha Kilimo cha mazao ya biashara
Athari chanya za uchumi wa kikoloni
-kuanzisha matumizi ya fedha-Kukua kwa miji mbalimbali Afrika
-Ujenzi wa miundombinu
-Kuanzisha mifumo ya utawala
-Kuanzishwa kwa viwanda
-Kuanzishwa kwa huduma za afya
Athari hasi za uchumi wa kikoloni
-Kuwepo kwa unyonyaji-Kuwavuruga waafrika
-Kudumaza maendeleo ya viwanda vya waafrika
-Afrika ilifanywa kama soko la bidhaa toka ulaya
0 Comments: