Ajira na Fursa za Kazi – MSOMIHURUTZ BLOG
Karibu kwenye ukurasa wetu wa Ajira! Hapa utapata taarifa za ajira mpya, matangazo ya kazi na fursa mbalimbali za kiufundi na za kitaaluma. Angalia matangazo ya hivi karibuni hapa chini na usisahau kushiriki fursa hizi na wengine.
TANGAZO 1: AJIRA MPYA NA TANGAZO LA KAZI
TANGAZO 2.๐ขTUNAPOKEA POST ZA KUTANGAZA SHULE ZA WATU BINAFSI,VYUO BINAFSI NA SERIKALI ๐ข
Je, una shule, chuo na unahitaji watu wengi waione na kuifahamu? Hii ni fursa yako adhimu ya kuitangaza shule/chuo chako kupitia jukwaa letu linalofikiwa na watu wengi kila siku.
Napokea post za kutangaza shule/chuo cha watu binafsi, au Serikali , kwa gharama nafuu kabisa.
๐ Post MOJA unalipia Tsh 10,000 tu.
Masharti ya Tangazo:
✔️ Post lazima iwe tayari umeshaidraft (imeandikwa kikamilifu) na unaleta tayari kwa kuposti.
✔️ Post lazima iwe na picha zinazoelezea shule/chuo au huduma yako (angalau picha 1 au zaidi zenye ubora).
✔️ Maudhui ya post lazima yawe na maneno zaidi ya 500 ili kuvutia wasomaji, kueleza huduma zako kwa kina na kuongeza uaminifu kwa wateja.
✔️ Maudhui yawe ya heshima, halali na yasiyokiuka sheria wala maadili ya jamii.
0 Comments: