Oct 25, 2024

SURA YA KWANZA: DHANA YA SAYANSI
Published from Blogger Prime Android App
Maana ya sayansi 
Sayansi ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya uchunguzi na majaribio.majaribio kama upimaji wa vitu na uchunguzi kama kutokea kwa Radi.

MATAWI YA SAYANSI
Sayansi ina matawi mbalimbali ambapo kila tawi linahusika na aina fulani ya maarifa. Matawi hayo ni kama vile
(i)BIOLOGIA
Ni tawi la sayansi linalohusika na viumbehai yaani mimea (Miti) na wanyama (binadamu)
(ii) FIZIKIA 
Ni tawi la sayansi linalohusika na uhusiano wa maada na nishati. Aina za nishati ni pamoja na joto, mwanga na Umeme
(iii) KEMIA 
Ni tawi la sayansi linalohusika na muundo na tabia za maada.pia inahusisha mabadiliko yanayotokea katika maada.Kuna hali mbalimbali za maada ikiwemo yabisi(jiwe), Kimiminika(maji) na gesi(hewa na gesi ya oksijeni)

TAALUMA ZINAZOHUSIANA NA SAYANSI 
Zipo taaluma mbalimbali zinazotokana na kujifunza sayansi, taaluma hizo ni kama vile
(i) Udaktari wa binadamu
(ii) Ualimu
(iii) Ufamasia
(iv) Uhandisi
(v) utaalamu wa Kemia
(vi) utaalamu wa mimea
(vii) daktari wa wanyama

UMUHIMU WA  SAYANSI
Umuhimu wa sayansi katika maisha ya kila siku
(i) Husaidia kujenga maarifa na stadi mbalimbali mfano: ubunifu,udadisi na fikra yakinifu
(ii) kutengeneza vitu na vifaa vinavyotumika nyumbani kama vile sabuni,dawa ya kusafishia meno, vyombo vya chakula
(iii) kutengeneza vitu vinavyotumika mashuleni kama vile chaki,daftari,kalamu na vitabu
(iv) kutengeneza vifaa vya ujenzi Kama saruji,chuma, chokaa,mabati,mabomba na marumaru
(v) kutengeneza vifaa vya kufanyia uchunguzi na utambuzi wa magonjwa na tiba (hadubini)
(vi) kutengeneza vifaa vya kurahisisha mawasiliano mfano:simu,redio na tarakirishi (🖥️ kompyuta)

JINSI YA KUANDIKA CV NZURI YA KISWAHILI

 


CV Hatua kwa Hatua

Hatua ya kwanza nitaonesha mfano wa CV kwa lugha ya Kiswahili na hatua ya pili nitaonesha mfano wa CV kwa lugha ya Kiingereza halafu utachagua mwenyewe utumie lugha gani katika kuandika CV yako.

CV ya kwanza, ni CV ya kawaida, ni aina hii ya CV utaikuta katika vitabu mbalimbali na hufundishiwa wanafunzi:

Mfano wa Kwanza: CV ya Kiswahili ambayo ni ya kawaida

WASIFU WA SAMWEL MANATI MALUMBAGA
Taarifa za Awali
Jina: Meinrad meinrad ngwenya
Ndoa: Ameoa
Barua Pepe: enrickngwenya@gmail.com
Simu: 0768569349
Utaifa: Mtanzania
Tarehe ya kuzaliwa: 18/07/1989
Historia ya Elimu
2010-2012, Chuo cha ualimu Mbeya Lutherani.
2005-2008, Shule ya Sekondari ya St.Benedicto. Cheti cha Kidato cha Nne.
1998-2004, Shule ya Msingi Mapinduzi. Cheti cha Darasa la Saba.

Uzoefu
2012-2013, Mgodi wa Bulyanhulu.
Maarifa
- Kutumia Kompyuta.

Ninapenda
Kufanya kazi, Kufundisha, Kusoma, Kujifunza mambo mapya.

Wadhamini:
1. Sophia Said Kapolo,
Barua Pepe: Sophiakapolo@gmail.com,
S.L.P 275,
Contact: 0620199441
TUNDURU.

2. Mateso Julius kavindi,
Barua Pepe:matesokavindi1@gmail.com,
S.L.P 40,
TUNDURU.

Mfano wa Pili ni mfano wa CV iliyo katika lugha ya Kiingereza, lakini CV hii ni ya kawaida

Oct 24, 2024

COMPUTER 🖥️💻

 Kwa wale wanaoitaji kujifunza computer troubleshooting and maintenance wanaweza kupata miongozo mbalimbali hapa

Published from Blogger Prime Android App

DOWNLOAD HERE