Saturday, June 20, 2026
Wale wanauliza Format Ya Mtihani F2
*๐จ๐ NECTA YATOA MFANO WA MTIHANI WA FTNA 2026 (PILOT) – FAIDA NA LENGO LAKE NI NINI? ๐๐จ*
๐ Salaam Wakuu wa Shule, Walimu na Wadau wa Elimu.
Ingia Hapa follow pia๐๐๐
https://whatsapp.com/channel/0029VaEmbFZ1Hsq6oycc992g
๐ NECTA imetoa Mfano wa Mtihani wa FTNA 2026 (Pilot) kwa watahiniwa wa mkondo wa Jumla. Maswali hayo yanapatikana kwenye Mfumo wa PREMS kupitia sehemu ya Notifications.
*Huo ni mfano Rasmi toka Necta*
*๐ฏ Lengo la Mtihani wa Mfano (Pilot) ni:*
✅ Kuwasaidia wanafunzi kuelewa muundo wa maswali ya mtihani.
✅ Kuwapa wanafunzi nafasi ya kujipima kabla ya mtihani rasmi.
✅ Kuwajengea wanafunzi kujiamini na kuondoa hofu ya mtihani.
✅ Kuwasaidia walimu kubaini maeneo yenye changamoto mapema pia Kupata muundo WA maswali yanavyoweza kuwa.
✅ Kukusanya maoni na tathmini kuhusu mfumo wa mtihani kabla ya utekelezaji rasmi Haujawekwa.
*๐ Nini Kinatakiwa Kufanyika?*
๐น Ingieni kwenye Mfumo wa PREMS.
๐น Pakueni maswali yaliyowekwa kwenye sehemu ya Notifications.
๐น Waandalieni na Wapatieni wanafunzi Mitihani/ mazoezi hayo mara shule zitakapofunguliwa.
๐น Tumia matokeo ya majaribio hayo kuboresha ufundishaji na ujifunzaji.
*๐ Faida kwa Wanafunzi*
๐ Kujifunza namna ya kujibu maswali yanayotarajiwa.
⏱️ Kujizoesha usimamizi wa muda wa kufanya mtihani.
๐ฏ Kubaini mapungufu yao mapema.
๐ Kuongeza uwezekano wa kufanya vizuri katika FTNA 2026.
*⚠️ Kwa Wadau Wanaopata Changamoto Kuingia PREMS*
Kama unakwama kuingia kwenye Mfumo wa PREMS au huwezi kuona Notifications, nimewasogezea link ya moja kwa moja ya kupakua mitihani hiyo.
๐๐ Bonyeza Link Hii Kupakua Mitihani Hiyo๐๐
๐ค Tushirikiane kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya kufanya majaribio haya muhimu kabla ya mtihani rasmi.
๐ Pakua mapema, waandae wanafunzi mapema, na waongezee nafasi ya kufaulu zaidi FTNA 2026.
Imeandaliwa na
*Mwalimu Na Mifumo*
0753538043
#FTNA2026 #NECTA #ElimuBora #MwalimuNaMifumo #Assessment #PilotExamination #WanafunziKwanza ๐๐✨
Thursday, June 18, 2026
Kupakua mitihani ya Chuo cha Ualimu Sumbawanga ni njia bora kwa wanafunzi wa ualimu kujipima na kujiandaa kwa mitihani yao ya mwisho. Mitihani ya miaka iliyopita huwasaidia wanafunzi kuelewa muundo wa maswali, maeneo muhimu ya kujifunzia, na kuongeza kiwango cha ufaulu. Chuo cha Ualimu Sumbawanga ni chuo cha serikali kilichopo Mkoa wa Rukwa na kinatoa mafunzo ya ualimu wa elimu ya awali na msingi kwa kuzingatia mtaala wa taifa. Wanafunzi wanashauriwa kutumia mitihani hiyo pamoja na vitabu na miongozo ya masomo ili kuboresha maandalizi yao ya kitaaluma.
Download Mitihani ya muhula wa kwanza mwaka wa kwanza chuo cha ualimu Sumbawanga
Wednesday, June 17, 2026
Kupakua mitihani ya Chuo cha Ualimu LUA Teachers College ni njia rahisi kwa wanafunzi kupata nyaraka muhimu za kujisomea na kufanya maandalizi ya mitihani. Mitihani hiyo huwasaidia wanafunzi kujipima uelewa wao wa masomo mbalimbali ya ualimu na kujiandaa vyema kwa mitihani ya mwisho. Kupitia maktaba ya mtandaoni au majukwaa ya elimu yanayotoa nyaraka za masomo, wanafunzi wanaweza kupakua mitihani ya miaka iliyopita na kuitumia kama rejea katika kuboresha ufaulu wao. Lua Teachers College ni chuo cha ualimu kilichopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam, na kinatoa mafunzo ya cheti na diploma ya elimu ya msingi.
Download Mitihani ya ELIMU JUMUISHI PAPER 4 kutoka chuo cha ualimu LUA TEACHERS COLLEGE
Monday, June 15, 2026
LESSON NOTES: USES OF HAVE AND HAS
Short Introduction
Understanding the uses of have and has is important for learning English grammar. These verbs are commonly used to show possession, relationships, physical characteristics, illnesses, and daily activities. In this lesson, students will learn the rules of using have and has, study examples, and practice through exercises.
1. USES OF HAVE AND HAS
B. To Talk About Family Relationships
C. To Describe Physical Features
D. To Express Illnesses or Conditions
E. To Talk About Daily Activities
2. RULES FOR USING HAVE AND HAS
3. NEGATIVE FORM
4. QUESTIONS WITH HAVE AND HAS
Summary
Downloading Standard Seven (Grade 7) exams is an easy way to help students prepare effectively for their final national examinations.These exams are
Download Mitihani ya Tapsha darasa Saba wilaya ya Maswa Pdf
They typically cover key subjects such as Mathematics, English, Science, kiswahili, Social Studies, often including both questions and answer sheets. By downloading and practicing these exams, students can test their understanding, improve their performance, and become familiar with the exam format.
It is important to download exams from reliable sources to ensure the materials are accurate and useful for learning.





