Tuesday, June 10, 2025

MFUMO WA MATOKEO

 Pata mfumo wa matokeo ya wanafunzi wenye uwezo wa kuandaa uchambuzi kwa kila somo na unaandaa ripoti za maendeleo ya mwanafunzi, katika mfumo huu mwalimu unachoweza kubadili ni jina la mkoa, wilaya, shule, darasa, mwaka na majina ya wanafunzi na kubadili masomo tu labda kama utataka kuweka Prem namba na namba za mitihani pia kwenye ripoti utaiona namba moja ukitaka ripoti nyingine utabonyeza hiyo namba itakuja icon ya^ iliyogeukia chini utabonyeza hapo utapata ripoti nyingine.

Angalizo:Usichezee sehemu ya daraja,

 sehemu ya nafasi na sehemu ya uchambuzi.

DOWNLOAD HAPA

 

0 Comments:

Advertisement