Thursday, January 15, 2026

NAPOKEA POST ZA KUTANGAZA BIASHARA NA MAKAMPUNI ๐Ÿ“ข

 ๐Ÿ“ขNAPOKEA POST ZA KUTANGAZA BIASHARA NA MAKAMPUNI ๐Ÿ“ข

Je, una biashara, huduma au kampuni na unahitaji watu wengi waione na kuifahamu? Hii ni fursa yako adhimu ya kuitangaza biashara yako kupitia jukwaa letu linalofikiwa na watu wengi kila siku.
Napokea post za kutangaza biashara za watu binafsi, wajasiriamali na makampuni, kwa gharama nafuu kabisa.
๐Ÿ‘‰ Post MOJA unalipia Tsh 10,000 tu.


๐Ÿ”น Masharti ya Tangazo:

✔️ Post lazima iwe tayari umeshaidraft (imeandikwa kikamilifu) na unaleta tayari kwa kuposti.
✔️ Post lazima iwe na picha zinazoelezea biashara au huduma yako (angalau picha 1 au zaidi zenye ubora).
✔️ Maudhui ya post lazima yawe na maneno zaidi ya 500 ili kuvutia wasomaji, kueleza huduma zako kwa kina na kuongeza uaminifu kwa wateja.
✔️ Maudhui yawe ya heshima, halali na yasiyokiuka sheria wala maadili ya jamii.

๐Ÿ”น Faida za Kutangaza Hapa:

✅ Biashara yako itaonekana na watu wengi kwa muda mfupi
✅ Inaongeza wateja wapya na kuimarisha jina la biashara yako
✅ Inafaa kwa biashara za mtandaoni, maduka, huduma, kampuni, taasisi na miradi mbalimbali
✅ Gharama nafuu ukilinganisha na faida utakayopata

๐Ÿ”น Biashara Zinazokaribishwa:

๐Ÿ›’ Biashara za mtandaoni
๐Ÿช Maduka na huduma za kawaida
๐Ÿข Makampuni na taasisi
๐Ÿ“š Huduma za elimu
๐Ÿงฐ Huduma za ufundi
๐Ÿ“ฑ Huduma za kidigitali na nyinginezo nyingi
Usikose nafasi hii ya kuifikisha biashara yako kwa watu wengi kwa gharama ndogo sana.
๐Ÿ“ฉ Andaa post yako kikamilifu, iwe na picha na maneno zaidi ya 500 kisha wasiliana nami kwa ajili ya kuposti.
๐Ÿ‘‰ Tangaza biashara yako leo, ongeza mauzo kesho! ๐Ÿš€
Whatsapp no 0691897002

0 Comments: